Special thread: Toa ya moyoni

Special thread: Toa ya moyoni

[HASHTAG]#MWAFWAAAAA[/HASHTAG] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nafunguka ya moyoni kuwa CHIKIRA MTABARI umefungiwa wapi, mbona huonekani??

Nimekumiss aseee, hasa kile kicheko cheko.

Mimi na yeye tumejificha mbali huku kijijini, hapa nimekuja kucheki network mara moja halafu narudi tena chimbo, hatupatikani kiurahisi.

Soma meseji hapa tuliwaaga.

Chikira Mtabari nawaaga

Kwa wale walio wapendwa wangu nachukua nafasi hii kuwajulisha kuwa kuanzia kesho nitakuwa vijijini sana sehemu ambayo hakuna hata "network" kwa wiki kadhaa hivyo msiponiona msipate shaka.

Nawatakia kila la kheri wana JF wote wenye mapenzi mema na mimi.
 
Jamba kila unapopata nafasi lasivyo gesi chafu itapanda kwenye ubongo that's were shit ideas came from.
e9e7a8be87789e71d4766e0126fa25e7.jpg
 
I wish ningefanya kazi ya kipaji changu, !!! Thats all!!
 
Miezi mitatu iliyopita ,nilivamiwa nikanyang'ganywa mkoba wenye vifaa vyote vya kazini pamoja na sim mbili .usumbufu niliopata ni mkubwa maana nilibeba dhamana za watu pia ! Niliumia katika harakati za kujitetea ,lakini niliumia nafsi zaidi kwa kupoteza vitu vyangu ,imenicoast sana kujibeba tena na mpaka sasa nashindwa kuanzisha thread humu maana hii cm niliyonayo siielewi elewi ...inaninyima raha ,nimebaki kuchangia mada !
 
Jamani pole sana mwaya,ndio maisha haya na jambo limeshatokea huna budi kukubaliana na hali maana hautotokea muujiza kila kitu kirudi kama hapo kabla.
Pole sana
 
Huu mwezi ukipita kimya bila ajira kutolewa, kila mhusika ajiongeze kwa namna yoyote ile. Maana kama ni kuisoma namba imeeleweka kwa kila mhusika.
 
Back
Top Bottom