Mkuu u hali gani?"Sitawaangusha"
Nafunguka ya moyoni kuwa CHIKIRA MTABARI umefungiwa wapi, mbona huonekani??
Nimekumiss aseee, hasa kile kicheko cheko.
Kwa wale walio wapendwa wangu nachukua nafasi hii kuwajulisha kuwa kuanzia kesho nitakuwa vijijini sana sehemu ambayo hakuna hata "network" kwa wiki kadhaa hivyo msiponiona msipate shaka.
Nawatakia kila la kheri wana JF wote wenye mapenzi mema na mimi.
Hivi kumbe hukumuaga kwenye ile thread yake aliyosema ataonekana Feb ?Nafunguka ya moyoni kuwa CHIKIRA MTABARI umefungiwa wapi, mbona huonekani??
Nimekumiss aseee, hasa kile kicheko cheko.
Jamani pole sana mwaya,ndio maisha haya na jambo limeshatokea huna budi kukubaliana na hali maana hautotokea muujiza kila kitu kirudi kama hapo kabla.Miezi mitatu iliyopita ,nilivamiwa nikanyang'ganywa mkoba wenye vifaa vyote vya kazini pamoja na sim mbili .usumbufu niliopata ni mkubwa maana nilibeba dhamana za watu pia ! Niliumia katika harakati za kujitetea ,lakini niliumia nafsi zaidi kwa kupoteza vitu vyangu ,imenicoast sana kujibeba tena na mpaka sasa nashindwa kuanzisha thread humu maana hii cm niliyonayo siielewi elewi ...inaninyima raha ,nimebaki kuchangia mada !
hahahahahah leo 7/2/2017 nimerudi rasmi mjini. hahahah asigwa na Raimundo nawashukuru sana kwa kunikumbukaMimi na yeye tumejificha mbali huku kijijini, hapa nimekuja kucheki network mara moja halafu narudi tena chimbo, hatupatikani kiurahisi.
Soma meseji hapa tuliwaaga.
Chikira Mtabari nawaaga
Leo nimerudi rasmi niko mjini ndugu yangu YamakagashiHivi kumbe hukumuaga kwenye ile thread yake aliyosema ataonekana Feb ?
Nimerudi leo niko mjini asigwa wange! ahsante kwa kunikumbuka. nilienda vijijini field kama mwezi kasoro siku kadhaaNafunguka ya moyoni kuwa CHIKIRA MTABARI umefungiwa wapi, mbona huonekani??
Nimekumiss aseee, hasa kile kicheko cheko.
hahahahahah leo 7/2/2017 nimerudi rasmi mjini. hahahah asigwa na Raimundo nawashukuru sana kwa kunikumbuka
Ahsante sana RaimundoKaribu sana dada.