hii ndio shida ya ku argue na watchman.mda wote akili yake inawaza kudinywa na wakora kwa geti.
kwa maana hiyo akili yako inakwambia whenever there is a music collabo between east africa musicians and western musicians, basi video au audio lazima ichezwe na media za marekani?. smh
kwani wewe unadhani owner wa mtv base, trace tv and box africa ni nani?... au unadhani owner wa hizo channel ni sk macharia wa royal media?.[emoji23].
fyi mtv base, trace and box africa are international tv channels which have dedicated their airtime to play and promote music videos by artists from africa continent. yet owners are not africans...owners are citizens of USA and europe.
na ukiona wanamziki wenyu hapo kenya video zao hazichezwi na hizo channels, basi jua mnawanamziki vilaza.[emoji23]