COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
- Thread starter
-
- #221
Eeh unataka tufanye na kina rickross ama omarion alafu ngoma yenyewe haichezwi marekaniati kolabo with who?...davido?.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...haki wakenya mnatia huruma. haya endeleeni kufanya kolabo na wanaija.
1. Khaligraph JonesCan you please prove this
Theyn't are....?? [emoji14] [emoji4] [emoji91]Illuminatin't they? π
Theyn't are....?? [emoji14] [emoji4] [emoji91]Illuminatin't they? π
Toa Victoria hapo weka Timmy tdat...1. Khaligraph Jones
2. Octopizzo
3. Victoria kimani.
4. Sauti Sol
[emoji34] [emoji91]
Bidii yao hakuna cha illuminatiTheyn't are....?? [emoji14] [emoji4] [emoji91]
Hii nayo ni ile ilihitaji viboko vingi sana. πTheyn't are....?? [emoji14] [emoji4] [emoji91]
[emoji87] [emoji15]Toa Victoria hapo weka Timmy tdat...
Here is the list
1.sauti
2.nyashinski
3.otile brown
3.k Jones
4.willy Paul
5.Timmy that
6.bahati
7.nameless
8.king kaka
9.wyre
10.Nai boi
Illuminati ni mondi[emoji87] [emoji15]
Hii list nzima ni wana illuminati...
Bahati, nyashinski, otile, nai...
Ni hatarii hii...
One love blood, me kwa east Africa wakenya nawaelewa sana.....Bidii yao hakuna cha illuminati
One love blood, me kwa east Africa wakenya nawaelewa sana.....Bidii yao hakuna cha illuminati
Illuminati ni church poa sana. π Kila mtu ndani ana bling zake. Sio kama zile zenu backbenchers ndani ya kanisa jumapili wamevaa nguo zimechanika chanika hadi wanajificha. π Sema Amen! πOne love blood, me kwa east Africa wakenya nawaelewa sana.....
But mostly of Kenyan wako ready kujoin na illuminati...
hii ndio shida ya ku argue na watchman.mda wote akili yake inawaza kudinywa na wakora kwa geti.Eeh unataka tufanye na kina rickross ama omarion alafu ngoma yenyewe haichezwi marekani
Hiyo ni madharau omarion analipwa 30000 USD kutoa kollabo na ata hawezi weka hio song kwa page yake .....drake wakichapa na wizkid inachezwa marekanihii ndio shida ya ku argue na watchman.mda wote akili yake inawaza kudinywa na wakora kwa geti.
kwa maana hiyo akili yako inakwambia whenever there is a music collabo between east africa musicians and western musicians, basi video au audio lazima ichezwe na media za marekani?. smh
kwani wewe unadhani owner wa mtv base, trace tv and box africa ni nani?... au unadhani owner wa hizo channel ni sk macharia wa royal media?.[emoji23].
fyi mtv base, trace and box africa are international tv channels which have dedicated their airtime to play and promote music videos by artists from africa continent. yet owners are not africans...owners are citizens of USA and europe.
na ukiona wanamziki wenyu hapo kenya video zao hazichezwi na hizo channels, basi jua mnawanamziki vilaza.[emoji23]
[emoji15] [emoji87]Illuminati ni church poa sana. π Kila mtu ndani ana bling zake. Sio kama zile zenu backbenchers ndani ya kanisa jumapili wamevaa nguo zimechanika chanika hadi wanajificha. π Sema Amen! π
Natania. Nishatubu. π[emoji15] [emoji87]
Ushaona wapi wanakaa backbencher na nguo kuchanika.... Tutake radhi wewe
Kusali Mungu haangalii mavazi bali anaangalia moyo.
jana east africa top ten kenya ilitoa ngoma nne,..naongelea TraceMziki....so usidanganye umma infact 5out of 10hii ndio shida ya ku argue na watchman.mda wote akili yake inawaza kudinywa na wakora kwa geti.
kwa maana hiyo akili yako inakwambia whenever there is a music collabo between east africa musicians and western musicians, basi video au audio lazima ichezwe na media za marekani?. smh
kwani wewe unadhani owner wa mtv base, trace tv and box africa ni nani?... au unadhani owner wa hizo channel ni sk macharia wa royal media?.[emoji23].
fyi mtv base, trace and box africa are international tv channels which have dedicated their airtime to play and promote music videos by artists from africa continent. yet owners are not africans...owners are citizens of USA and europe.
na ukiona wanamziki wenyu hapo kenya video zao hazichezwi na hizo channels, basi jua mnawanamziki vilaza.[emoji23]
Kidogo kidogo watasoma numberjana east africa top ten kenya ilitoa ngoma nne,..naongelea TraceMziki....so usidanganye umma infact 5out of 10
Thanks for the love brothernzuri sana hii...i love.kenya