Special Thread: Trending Now in Kenya

Special Thread: Trending Now in Kenya

One place Africa Westlands
27606247438_91056f59ec_b.jpg
 
moja kati ya habari kubwa zinazo trend kwenye blogs za kenya ni kuhusu mwanamuziki maarufu wa tz ali kiba kufunga ndoa na binti wa kikenya toka county ya mombasa.

inasemekana kwamba familia anayotoka binti huyo ni ya kipato cha chini. hata makazi ya nyumba yao si ya kuvutia sana,jambo lililomfanya ali kiba kuingia gharama ya kuihamisha familia hiyo toka katika makazi yao duni ya awali na kuipangishia familia hiyo katika nyumba yenye hadhi nzuri.

hongera sana ali kiba kwa moyo huo wa upendo uliouonyesha kwa wakwe zako wa kenya.

hii inatoa picha kwamba wakenya wengi ni maskini ila walichotuzidi ni sifa tu za kijinga. povu ruksa. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 747648View attachment 747649View attachment 747650
 
hii habari nayo ina trend sana huko kenya... but you wont see kenyans sharing it here.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
IMG_20180417_173810.jpg
IMG_20180417_173824.jpg
IMG_20180417_173838.jpg
IMG_20180417_173850.jpg
 
Mzee kadoda11 wewe ndio main facilitator wa content za mashoga hapa jf. Una post na thread nyingi za kishoga kuliko mtu yeyote mwingine kwenye hili jukwaa. Mbona unawalizimisha wanajf wapigie huu uchafu na ushetani promo kama wewe? Kunani??? Saw on Aljazeera that popular Chinese 'Twitter' has recently deleted gay content in its site. I hope Jf Moderators are taking note. We need to save this generation from the devil's workshop.
 
sio kwa povu hili buda.
yaonekana umeumia sana kwa mimi ku share habari za mashoga ya kikenya kuvalishana pete ya uchumba. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
sio kwa povu hili buda.
yaonekana umeumia sana kwa mimi ku share habari za mashoga ya kikenya kuvalishana pete ya uchumba. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hamna cha povu wala nini. Jf huwa haina hayo maneno ya kupigia promo huo uchafu except you offcourse. That stuff is very disgusting.
 
Hamna cha povu wala nini. Jf huwa haina hayo maneno ya kupigia promo huo uchafu except you offcourse. That stuff is very disgusting.
pole sana msee.
what i did is to share the trending stuff in kenya per the title of thread.
so don't blame me, blame the guy who started the thread.

otherwise mtuambie ni aina gani ya habari zinazo trend kenya ndio zinatakiwa kuletwa hapa.

binafsi nitaleta habari yoyote ya kenya bila kujari nzuri au mbaya mradi tu iwe katika trend. povu ruksa.

na nikiona unaendelea kutoa povu nitaifungulia thread hiyo habari ya mashoga "wenyu" ili upatwe na hasira zaidi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kutokana umaarufu mkubwa wa wanamziki wa tanzania, tanzania ina control kubwa ya showbiz katika ukanda wote east africa.

ndio maana habari zinazohusu wasanii wa tanzania huwa gumzo kubwa sana.

moja kati ya habari inayo trend sana kwenye media, pages na blogs za kenya ni harusi ya ali kiba ambayo itarushwa live na azam tv kuanzia kesho mida ya jioni kutokea jiji la mombasa.

blog ya "nairobi news" haijataka kubaki nyuma.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23]

IMG_20180418_200130.jpg
IMG_20180418_200151.jpg
IMG_20180418_200220.jpg
 
kutokana umaarufu mkubwa wa wanamziki wa tanzania, tanzania ina control kubwa ya showbiz katika ukanda wote east africa.

ndio maana habari zinazohusu wasanii wa tanzania huwa gumzo kubwa sana.

moja kati ya habari inayo trend sana kwenye media, pages na blogs za kenya ni harusi ya ali kiba ambayo itarushwa live na azam tv kuanzia kesho mida ya jioni kutokea jiji la mombasa.

blog ya "nairobi news" haijataka kubaki nyuma.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23]

View attachment 749266View attachment 749267View attachment 749268
yaani bila kenya nyinyi ni ovyo
 
Back
Top Bottom