COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
- Thread starter
-
- #441
Poa poa mzaeCollo tuma trending stuffs,
achana na buildings.
sio kwa povu hili buda.Mzee kadoda11 wewe ndio main facilitator wa content za mashoga hapa jf. Una post na thread nyingi za kishoga kuliko mtu yeyote mwingine kwenye hili jukwaa. Mbona unawalizimisha wanajf wapigie huu uchafu na ushetani promo kama wewe? Kunani??? Saw on Aljazeera that popular Chinese 'Twitter' has recently deleted gay content in its site. I hope Jf Moderators are taking note. We need to save this generation from the devil's workshop.
Hamna cha povu wala nini. Jf huwa haina hayo maneno ya kupigia promo huo uchafu except you offcourse. That stuff is very disgusting.sio kwa povu hili buda.
yaonekana umeumia sana kwa mimi ku share habari za mashoga ya kikenya kuvalishana pete ya uchumba. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
pole sana msee.Hamna cha povu wala nini. Jf huwa haina hayo maneno ya kupigia promo huo uchafu except you offcourse. That stuff is very disgusting.
yaani bila kenya nyinyi ni ovyokutokana umaarufu mkubwa wa wanamziki wa tanzania, tanzania ina control kubwa ya showbiz katika ukanda wote east africa.
ndio maana habari zinazohusu wasanii wa tanzania huwa gumzo kubwa sana.
moja kati ya habari inayo trend sana kwenye media, pages na blogs za kenya ni harusi ya ali kiba ambayo itarushwa live na azam tv kuanzia kesho mida ya jioni kutokea jiji la mombasa.
blog ya "nairobi news" haijataka kubaki nyuma.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23]
View attachment 749266View attachment 749267View attachment 749268
bila habari za maceleb wa tz, blog za kenya zinakosa wasomaji. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]yaani bila kenya nyinyi ni ovyo
haha buda this musician depend on kenya to survivebila habari za maceleb wa tz, blog za kenya zinakosa wasomaji. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]