Special Thread: Trending Now in Kenya

Special Thread: Trending Now in Kenya

Kiswahili chenu kibovu sana. Huwa mnajidai magwiji ila mkisikizwa vizuri munahari Kiswahili muno. Licha ya maneno ya Kiswahili mnayoharibu haya:-
Kuongeza -ga mwishoni mwa kitenzi. Kwa mfano:-

Naskiaga
Nakulaga
Naonaga

Kusema r badala ya l na l badala ya r
Mfano
badala - badara
Maringo - Malingo
Usijali - Usijari
narudia tena, kamwe mkenya hawezi kumfundisha mtanzania lugha adhimu ya kiswahili.
 
Patel Earth dam had no spillway to safely discharge excess water.
 
NO
DcqAQ00XUAA20iG.png
 
Back
Top Bottom