Special Thread: Trending Now in Kenya

How's my girl Peninah Karibe doing, is she still single? Anybody with her contacts please feel free to drop me a line through PM, I'll offer a cow or camel as a gesture.
acha ujinga wewe... nyinyi ndio mnaofanya wakenya watuone watz wote vilaza. jinga kabisa wewe.
 
This trend is specifically for anything trending East Africa's biggest economy mainly News,sports,memes,hot trends in twitter ,music,movies and many more
DISCLAIMER
We dont want boring tanzanian news here
The Oscars award winner Lupita nyongo came was in kisumu 3days ago With the main aim of Building Lupita state of art in worth millions of shilings in the lake side city
 
still trending at number one.... heading to million views... mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
basi sawa. nilidhani ulipotea njia uliweka comment kwenye jukwaa ambalo sio. lenyewe.


Wakenya ni watani wetu, kuna mada zingine unasoma tu na kuzipotezea. Unakumbuka yule mleta mada alisema kuwa hataki habari boring za watanzania na mimi nikatumia utani ule kwa kumuuliza kuhusu Peninah Karibe anaendeleaje. Usichukulie kila kitu serious, hapa mtandaoni kuna ya maana na ya utani mkuu. We are good, sina kinyongo na wewe nilijuwa hukunielewa lengo langu.
 
nimekusoma comrade, tupo pamoja.wakenya ni kama mnyama fisi anayesubiri mkono wa binadamu udondoke autafune.

wanatamani watuone watz tunachukiana kama wao wanavyochukiana kwa tofauti za kikabila.ila kamwe haitokuja kutokea. tz ni taifa la Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…