Special thread: tukosoe misemo ya wahenga

Socw

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
1,329
Reaction score
2,644
Kamba hukatikia pembamba-kosa
Kamba hukatikia pabovu- sahihi

Mbuzi hula kwa urefu wa Kamba yake-kosa
Mbuzi hula kwa wingi wa nyasi zake


Endelea......
 
Simba mwenda pole ni mgonjwa huyo

Mpanda ngazi ni Tanesco

Aliye juu Mfuate hukohuko

Fuata nyuki utoke manundu

Samaki mmoja akioza unamchomoa unamtupa

Kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake na huruma ya mchungaji
 
Duuuhhhhh nooomaaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…