View attachment 1890650OFFER CCTV CAMERA INSTALLATION
( 30% OFF)
Safewaysecurity katika kuhakikisha kila mmja anapata huduma ya usalama na ulinzi kwa njia za kitechnolojia tunakuletea offer ya gharama zetu kwa punguzo la zaidi ya asilimia 30% ya gharama.
💥tunatoa huduma za aina 3 za camera ambazo ni.
✔Coloured camera.
Izi ni analogy camera ambazo hutoa rangi ya picha kwenye mwanga na black and white kwenye giza.
Gharama zake ni 260000 kwa kila kamera. Gharama izi zinajumuisha kila kitu katika set pamoja na ufundi.
✔colourVu camera
Hizi pia ni analogy camera ambazo hutoa rangi ya picha muda wote wakati wa mwanga na pia wakati wa giza.
Gharama zake 300000 kwa kila camera.
Gharama hii inacover kila kifaa katika set pamoja na ufundi.
✔IP camera
Izi ni internet protocal camera yani zinatumia mfumo wa networt internet kupokea data na kutoa picha.
Izi ni digital camera na gharama zake ni
330000 kwa kila camera. Gharama hii inahusisha kila kitu katika set.
NOTE. Katika set yetu ya camera mteja anatakiwa awe na screen tu pamoja na lain kwajili ya mobile view.
Karibuni sana tuifanye tanzania ya kitechnolojia
Tunapatika MAKUMBUSHO PAMOJA NA KINONDONI
CONTACT. 0689414015
Kwa hiyo nikitoa 260,000 munanifungia kamera mojaView attachment 1890650OFFER CCTV CAMERA INSTALLATION

Unamaanisha anatoa huduma kwa bei ya gharama kuzidi uhalisia au bei ni sahihi ila haukua ukijua gharama za kuweka uzio wa umeme?Yani mie mwenye uwanja wa squire 1000 natakiwa niwe na 23M au sijaelewa??
Yani mie mwenye uwanja wa squire 1000 natakiwa niwe na 23M au sijaelewa??
Hapana ndugu yangu electric fance wire inafungwa kwenye ukuta so hatupimi square meter bali tunapima mzingo wa ukuta au urefu wa kuta zako na pia gharama izo zinacover material na kila kitu katika kazi. So ukuta wa urefu wa 1000m ni mkubwa sana unaweza kuwa zaidi ya hekari 2 ambapo kwa gharama za 23m ukipiga hesabu za material yanayotumika utagundua bado ni gharama nafuu ndio mana tunasema ni offer.Yani mie mwenye uwanja wa squire 1000 natakiwa niwe na 23M au sijaelewa??
Asante sana kwa kunisaidia ndugu.Tofautisha eneo na mzingo. Electrical fence inazunguka ukuta wakati hizo square meter ni eneo lote la kiwanja.
Kama kiwanja chako kina 30m kwa 40m, jumla ya urefu itakua 140m. Hivyo gharama itakua 23,000×140= 3,220,000/=.
Another reason hizi system zikikaa sana zinweza kutengeneza energy fault au material yakiwa fake kama zile insulator zikipigwa sana jua zinachoka so kuna muda energy power inakuwa low so watu wanapenya tu tunashauri kufanya maintainence mara kwa mara angalau mara 1 kwa miezi 6.Swali moja mkuu, siku za karibuni wakulungwa na wajuba wanazikata au kuingia kwenye kuta zenye electrical fence, tatizo ni nini?
Another reason hizi system zikikaa sana zinweza kutengeneza energy fault au material yakiwa fake kama zile insulator zikipigwa sana jua zinachoka so kuna muda energy power inakuwa low so watu wanapenya tu tunashauri kufanya maintainence mara kwa mara angalau mara 1 kwa miezi 6.