balimar
JF-Expert Member
- Sep 18, 2015
- 7,743
- 13,657
Naona mnaanza kununua high and low blood pressure Acceralator device
Hii mambo unaletewa upuuzi wote unaofanyika nyumbani/ofisini kwenye macho yako live sio mchezo
Mungu sio mjinga kukupa fursa ya kuona nyuzi 180 na sio nyuzi 360
Ana maana eti, yale yanayoendelea home yaache wewe endelea na yale ya huko ulipo ofisini kwako
Hizi camera ni majanga eti