Special thread: Ujinga ni?

Ujinga ni kuukata ukweli wa aina yoyote ile na kuukubali uongo.
 
Ujinga ni kumwamsha mgonjwa umpe dawa ya usingizi
 
Ujinga ni kuona kitu gizani ukadhani ni kinyesi, ukakiguza, ukukakionja. Kisha ukagundua,''la hasha, sio kinyesi hiki...''
 
ujinga ni kuamini utapata mabadiliko ya kiuchumi wakati hujitumi kufanya kazi.
 
Ujinga Ni Kuishaibia Tim Za Mpira Ulaya Hadi Mishipa Inasimama Wakati Hawakujui..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…