Special thread: Ujinga ni?

Special thread: Ujinga ni?

ujinga ni kumshabikia fisadi kisa kakuhonga pesa
 
Ujanja ni kukihifadhi kichinjio chako jokofuni mpk oct.25
 
Ujinga ni kutamani kila mtu apende au ashabikie kile unachoona wew ni sawa.
 
ujinga ni kushuka kwenye daladala likiwa kwenye folen eti kisa tu umeona gar la jiran akupe lift japokua naye yuko kwenye folen
 
Kuingiza pombe ikulu mwisho kugeuzwa bar
 
Ujinga ni kusema fulani mgonjwa wakati hapo ulipo unaugua kila aina ya ugonjwa
 
Ujinga ni kuvaa kondom wakati mwenyewe hujatahiriwa
 
Ujinga ni kumyooshea mwenzio kidole wakati vidole vingine vinakunyooshea wewe mwenyewe
 
Back
Top Bottom