Special thread: Ujinga ni?

ujinga ni kumshabikia fisadi kisa kakuhonga pesa
 
Ujanja ni kukihifadhi kichinjio chako jokofuni mpk oct.25
 
Ujinga ni kutamani kila mtu apende au ashabikie kile unachoona wew ni sawa.
 
ujinga ni kushuka kwenye daladala likiwa kwenye folen eti kisa tu umeona gar la jiran akupe lift japokua naye yuko kwenye folen
 
Ujinga n pale unapoziweka mvi zako dawa ile ziwe nyeusi kuukataa uzee haliyakuwa sura imejikunja.
 
Kuingiza pombe ikulu mwisho kugeuzwa bar
 
Ujinga ni kupunguza sauti ya redio ili usome txt
 
Ujinga ni ku-copy na ku-paste posts za wengine!
 
Ujinga ni kusema fulani mgonjwa wakati hapo ulipo unaugua kila aina ya ugonjwa
 
Ujinga ni kuvaa kondom wakati mwenyewe hujatahiriwa
 
Ujinga ni kumyooshea mwenzio kidole wakati vidole vingine vinakunyooshea wewe mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…