Kudeki lami wakati geto lako halijui hata mfagio wa chelewa...
Ujinga ni kusema uendi kupiga kula araf unabishana kuhusu siasa ama kuongelea siasa
Utakua Ujinga Kuendlea Na Mtandao Wa Mb 1 Wakat Kuna Mengne Unatumia Net Uxku Bure Ata Ukitaka Download Season Ya Jumong Au Merlin Had Kpnde Cha Mwisho
ujinga ni kujamba huku umevaa earphone ukidhani husikiki