Special thread: Ujinga ni?

Ujinga ni kumjaribu mh. Rais wakati yeye keshasema hajaribiwi!!
 
Ujinga nikuweka mabishano kati ya wanaume wa dar nawamikoani
 
Ujinga ni kuomba simu ya mtu fulani badala ya kuomba namba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…