Special thread: Uliza swali la kijinga ujibiwe kipuuzi.

Uzi unautabiria maisha kama ya STRESS FREE na ule MAKUPUKU
 
Hivi zile suluari wanazo vaa vijana wa leo zinavaliwaje na kuvuliwaje?
Nini madhala yake Kiafya?
 
Je ni kweli jiji la dar linaongozwa na mtu wa division 5 na mwizi wa majina,?



$wissme

Wakati wenzie wanasoma, yeye alikua anafanya kazi ya kuuchapa tu usingizi....[emoji12] [emoji12]
 
hivi kujichua aka punyeto ni ile gitu inafanyiwa wachesaji uwanjani wanapokuwa na maumifu ya misuli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…