Special thread: Uliza swali la kijinga ujibiwe kipuuzi.

Special thread: Uliza swali la kijinga ujibiwe kipuuzi.

Ata thread na text tunazotuma sisi tunaotumia iPhone x na 7+ zinachanganyikana na za wanaptumia tecno na itel?????mbona kam sielew
 
Sasa hapo ndo unashangaa mara skonzi yenyewe imetoboa kisha unashangaa tu access denied, hapa ndo unajiuliza mbona shuti lenyewe kama linavuja hivi wakati uchumi wenyewe kwenye spika zimegeuzwa alafu ukicheki kushoto unaona bawaba imetundiakwa juu ya kamba na kibanio cha pink nyasi zenyewe nyeupe kumbe long time jua limeshazama ila mwamga upo na dogo ndio anapiga mizinga kama mama yake.

NOTE: Sio kila kitu lazima uelewe!!
 
Hivi ni kweli mtoa mada tigo yako ilupigwa mtungo hadi muda huu inakuwasha?
 
Sasa hapo ndo unashangaa mara skonzi yenyewe imetoboa kisha unashangaa tu access denied, hapa ndo unajiuliza mbona shuti lenyewe kama linavuja hivi wakati uchumi wenyewe kwenye spika zimegeuzwa alafu ukicheki kushoto unaona bawaba imetundiakwa juu ya kamba na kibanio cha pink nyasi zenyewe nyeupe kumbe long time jua limeshazama ila mwamga upo na dogo ndio anapiga mizinga kama mama yake.

NOTE: Sio kila kitu lazima uelewe!!
Mbn mm nimeelew
 
Wa Gogo walifukuzwa Dar na kurudishwa DODOMA kwa kosa la OMBA OMBA,sasa makao makuu yapo kwa WAGOGO swali Mgogo atahamoshiwa wapi na ndio mwenye mji au makao makuu?nyambafu - kinacho INGIA huwa kina TOKA na kinacho TOKA huwa KINAINGIA,Wazanzibari wazanzibara [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom