Yeth lottah
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 1,405
- 2,229
Ipo hadi kwenye ofisi za RC darOoh, sio kwa nyuma pale Hananasif kwa Mwalimu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo hadi kwenye ofisi za RC darOoh, sio kwa nyuma pale Hananasif kwa Mwalimu??
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji119]Ndio mkuu, ni mafuta ya KY Jelly yanapakwa pale kwenye kiti.
[emoji6] nimestuka unataka kuniwahi ndo maan unatak nifnye slow,kwan zinaweza ishia njian na ukachukua wewdownload taratibu tararibu
Nenda kwa Mboekadi yangu ya ccm imepotea nitapata wapi nyingine? [emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]
Itakua *b.a.o* au unaonaj japo sina uhakikaHivi gundi gani inatumika kubandika maharage?? Me bangi cpendi kama nini
Unamsema yule ban kimoon au ban mwingine?Ila umeshajizoelea na ban pole lakini
Mbn mm nimeelewSasa hapo ndo unashangaa mara skonzi yenyewe imetoboa kisha unashangaa tu access denied, hapa ndo unajiuliza mbona shuti lenyewe kama linavuja hivi wakati uchumi wenyewe kwenye spika zimegeuzwa alafu ukicheki kushoto unaona bawaba imetundiakwa juu ya kamba na kibanio cha pink nyasi zenyewe nyeupe kumbe long time jua limeshazama ila mwamga upo na dogo ndio anapiga mizinga kama mama yake.
NOTE: Sio kila kitu lazima uelewe!!
Unahisi ni kama wako?samahani naniliiu hv ushuzi wa mndukuni kwako una harufu gani?
Bangi na kinyesi wapi na wapiHivi gundi gani inatumika kubandika maharage?? Me bangi cpendi kama nini
Swali zuri San ,sasa kweny page ya 123450 ya kitabu cha forex wametoa jibu tatizo we mvwivu WA kusoma vitabuHivi kwanini donati huwa zina tundu katikati, kama sio uhuni ni nini hicho!!!!
mnduku wako?Unahisi ni kama wako?
[emoji23] [emoji23] mwenye nchi ni hamorapa eenh?Mtazame Mtoto wa Mwenye nchi kitu kilivyotokeza[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]