tuwe wakweli
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 223
- 59
Kati ya nyakati za huzuni kwa wadogo wetu na wazazi wao ni muda huu ambapo wamesubiri sana kwa muda mrefu hizi post kwa hamu kubwa lakini sasa ni majonzi kwani wengi wao walitaraji kupata hizo nafasi lakini wamekosa,na tukizingatia kuwa wengi wao ni watoto wa wakulima ambao hawawezi kumudu kulipia gharama za shule za private.
Na tena unakuta post hizi zinakuja wakati ambao hata application ya kwenye vyuo kama vya ualimu umeshafungwa zamani na wengine hawakutuma maombi wakiamini kuwa hawatakosa nafasi ya kujiunga na form five.
Nimeanzisha hii thread mahususi kwa watu mbalimbali tushauriane watoto wetu wafanye nini.Ushauri huo uwe hasa mahsusi kwa watoto wa wakulima ambao wazazi wao hawamudu kulipia gharama za private schools.
Kwa mfano kuna shemeji yangu amekosa nafasi hiyo wakati wenzake wenye ufaulu kama wake wamepata,yeye alifaulu kwa GPA ya 2.4 ambapo comb nyingi zilikubali zikiwemo za sayansi S.0639/104.
UNAMSHAURI NINI ILI AENDELEE NA MASOMO MWAKA HUU?
NB:Mods,naomba uzi huu ujitegemee.