SPECIAL THREAD:Ushauri kwa waliokosa kuchaguliwa kujiunga na kidato cha 5 mwaka 2015.

tuwe wakweli

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
223
Reaction score
59
Kati ya nyakati za huzuni kwa wadogo wetu na wazazi wao ni muda huu ambapo wamesubiri sana kwa muda mrefu hizi post kwa hamu kubwa lakini sasa ni majonzi kwani wengi wao walitaraji kupata hizo nafasi lakini wamekosa,na tukizingatia kuwa wengi wao ni watoto wa wakulima ambao hawawezi kumudu kulipia gharama za shule za private.

Na tena unakuta post hizi zinakuja wakati ambao hata application ya kwenye vyuo kama vya ualimu umeshafungwa zamani na wengine hawakutuma maombi wakiamini kuwa hawatakosa nafasi ya kujiunga na form five.

Nimeanzisha hii thread mahususi kwa watu mbalimbali tushauriane watoto wetu wafanye nini.Ushauri huo uwe hasa mahsusi kwa watoto wa wakulima ambao wazazi wao hawamudu kulipia gharama za private schools.
Kwa mfano kuna shemeji yangu amekosa nafasi hiyo wakati wenzake wenye ufaulu kama wake wamepata,yeye alifaulu kwa GPA ya 2.4 ambapo comb nyingi zilikubali zikiwemo za sayansi S.0639/104.
UNAMSHAURI NINI ILI AENDELEE NA MASOMO MWAKA HUU?

NB:Mods,naomba uzi huu ujitegemee.
 
Mm nnapenda kujua ni vigezo vipi vilivyotumika katika utoaji wa hizi posti?
 
No. S0324/0061

Sex::- M

GPA:- 2.6

CRASS:- MERIT

DETAILS SUBJECT
CIV - 'E' HIST - 'C' GEO - 'B' KISW - 'B' ENGL - 'B+' PHY - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'D'

Amemaliza Lindi Sec School ila kachaguliwa kwenda shule ya Lyamungo wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro kombi HGE. Je huyu anaweza badr kombi akifika shulen kwenda CBG?

=========================

NO:- S0324/0048

SEX:- M

GPA:- 1.6

CLASS:- CREDIT

DETAILS SUBJECT
CIV - 'D' HIST - 'E' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'E' PHY - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'C' COMP STUD - 'E' B/MATH - 'D'

Huyu hajachaguliwa kabisa licha ya kuna matokeo hayo hapo juu, ana ndoto za kuwa Dr. shule hipi itamfaa katika private?
 
No. S0324/0061

Sex::- M

GPA:- 2.6

CRASS:- MERIT

DETAILS SUBJECT
CIV - 'E' HIST - 'C' GEO - 'B' KISW - 'B' ENGL - 'B+' PHY - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'D'

Amemaliza Lindi Sec School ila kachaguliwa kwenda shule ya Lyamungo wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro kombi HGE. Je huyu anaweza badr kombi akifika shulen kwenda CBG?

=========================

kama iyo comb anayoitaka ipo apo shuleni analuhusiwa kabisa kubadilisha
 
No. S0324/0061

Sex::- M

GPA:- 2.6

CRASS:- MERIT

DETAILS SUBJECT
CIV - 'E' HIST - 'C' GEO - 'B' KISW - 'B' ENGL - 'B+' PHY - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'D'

Amemaliza Lindi Sec School ila kachaguliwa kwenda shule ya Lyamungo wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro kombi HGE. Je huyu anaweza badr kombi akifika shulen kwenda CBG?

Huyu namshauri akabadilishe asome PCB,asiogope najua anataka CBG kwa kuogopa Physics..kijana aondoe huo woga apige PCB.
 
Back
Top Bottom