CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Habari Jamii forum
Nimeamua kuanzisha thread hii ambayo itakuwa ni ya muendelezo ,
Lengo la thread hii ni kuzipa nafasi idara mbalimbali za chama na Serikali kuuletea umma wa Watanzania utekelezaji wa Ilani ya CCM ya mwaka (2020 - 2025 ) chini ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan
Karibuni sana kwa Picha na Taarifa mbalimbali za utekelezaji wa Ilani toka maeneo na ngazi zote za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.