Special Thread: Utekelezaji wa ILANI ya CCM 2020-2025

Ndugu tunaomba ujitambulishe wewe ni nani CCM ili tujue kwanza hizi Habari ni za uhakika Au laa.

Pili ili wakosoaji waweze kukosoa vyema na wakitekwa tujue ni mtu flan kutoka CCM.

Kama chawa hapo hatutaelewa kitu.
 
View attachment 3078138
Habari Jamii forum

Nimeamua kuanzisha thread hii ambayo itakuwa ni ya muendelezo ,

Lengo la thread hii ni kuzipa nafasi idara mbalimbali za chama na Serikali kuuletea umma wa Watanzania utekelezaji wa Ilani ya CCM ya mwaka (2020 - 2025 ) chini ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan

Karibuni sana kwa Picha na Taarifa mbalimbali za utekelezaji wa Ilani toka maeneo na ngazi zote za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
VIVA CCM VIVÀ SAMIA VIVA
 
Ndugu tunaomba unità Mbishe wewe ni nani CCM ili tujue kwanza hizi Habari ni za uhakika Au laa.

Pili ili wakosoaji waweze kukosoa vyema na wakitekwa tujue ni mtu flan kutoka CCM.

Kama chawa hapo hatutaelewa kitu.
🤣🤣🤣
 
IMG-20240827-WA0031.jpg
 
KAZI kubwa inayofanywa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ikiwemo kuzunguka maeneo mbalimbali duniani inalenga kuleta maendeleo ya Watanzania, kuhakikisha taifa linapata maendeleo.

Aidha, hatua hiyo pia inalenga kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi CCM) 2020-2025 ambayo imeahidi kuendelea kufungua uhusiano wa kidiplomasia na kuchochea ukuaji uchumi wa taifa na mwananchi mmoja mmoja.

Tufuatilie kupitia Mitandao ya Kijamii*

Chama Imara na Samia (@chamaimaranassh) • Instagram profile

Follow the Chama Imara Na Samia channel on WhatsApp: Chama Imara Na Samia | WhatsApp-Kanal

#ChamalmaraNaSSH #MaendeleoYaWatu #KiongoziMadhubuti

TUNABORESHA SEKTA MUHIMU KUFUNGUA MAENDELEO KWA WANANCHINI.

Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amesema serikali imeendelea kuboresha sekta muhimu ikiwemo elimu, afya, maji na miundombinu ya barabara kwa lengo la kuhakikisha maendeleo yanawafikia wananchi na kunufaika nayo kuanzia ngazi ya chini.

Tufuatilie kupitia Mitandao ya Kijamii

Chama Imara na Samia (@chamaimaranassh) • Instagram profile

Follow the Chama Imara Na Samia channel on WhatsApp: Chama Imara Na Samia | WhatsApp-Kanal

#ChamalmaraNaSSH #MaendeleoYaWatu #KiongoziMadhubuti

"Chama pekee chenye mipango, sera na mikakati ya kuwaletea maendeleo ni Chama Cha Mapinduzi (CCM), ndio maana serikali yake inayoongozwa na Rais Dk, Samia Suluhu Hassan imeendelea kupeleka maendeleo hadi vijijini, hivyo wananchi msikubali kufanya majaribio kwa vyama visivyo na uwezo wa kuongoza". Ally Hapi, katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Taifa

Tufuatilie kupitia Mitandao ya Kijamii

Chama Imara na Samia (@chamaimaranassh) • Instagram photos and videos

Follow the Chama Imara Na Samia channel on WhatsApp: Chama Imara Na Samia | WhatsApp-Kanal

#ChamalmaraNaSSH #MaendeleoYaWatu #KiongoziMadhubuti

View attachment 3078138
Habari Jamii forum

Nimeamua kuanzisha thread hii ambayo itakuwa ni ya muendelezo ,

Lengo la thread hii ni kuzipa nafasi idara mbalimbali za chama na Serikali kuuletea umma wa Watanzania utekelezaji wa Ilani ya CCM ya mwaka (2020 - 2025 ) chini ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan

Karibuni sana kwa Picha na Taarifa mbalimbali za utekelezaji wa Ilani toka maeneo na ngazi zote za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
VIVA SAMIA VIVA
 
Serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa rais Samia Suluhu Hassan imetekeleza ahadi yake ya kumtua ndoo mama kichwani kwa kusambaza miradi ya maji nchi nzima.

Rais ameyasema hayo akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Ruvuma ambapo amesema serikali inatarajia ikifika Mwaka 2025 lile lengo la utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi ya kuhakikisha kuwa nchi inapata maji kwa asılımıa 85 vijijini na asilimia 95 mijini liwe limetimia.

Tufuatilie kupitia Mitandao ya Kijamii

Login • Instagram

Follow the Chama Imara Na Samia channel on WhatsApp: Chama Imara Na Samia | WhatsApp Channel

Back
Top Bottom