Special thread: Uzi wa kusaidiana kupata nyumba/vyumba vya kupanga bila kutumia madalali

Special thread: Uzi wa kusaidiana kupata nyumba/vyumba vya kupanga bila kutumia madalali

Man Mvua

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2016
Posts
2,183
Reaction score
3,521
Habarini Wandugu.

Naomba kusaidiana kupeana taarifa juu ya nyumba au vyumba vya kupanga kwa jiji la Dar es salaam.

Kuna nyumba itakuwa wazi kuanzia January 10 yenye:
- Vyumba 2 kimoja master
- Sitting room
- Kitchen

Na kodi inalipwa kuanzia miezi 2 na kuendelea. Nyumba ipo mivumoni ya Madale.

Pia anaehama anauza fridge kubwa na masofa.

Karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahitaji RAV4 Au SUZUKI au GX110 Au GX100 AVANTE AU NOAH SR40 my budget is low
 
Nyumba hii inapangishwa ipo mivumoni ya madale kodi ni 250k kwa mwezi inalipwa miezi 3&3 tuu pia masofa hayo yanauzwa 300k.
IMG-20191224-WA0000.jpeg
IMG_20191003_102826_3.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natafuta chumba maeneo ya kuanzia barabara ya survey, Mwenge, morocco mpaka Mbuyuni. Dalali anaruhusiwa
 
Back
Top Bottom