Special thread: Uzi wa kusaidiana kupata nyumba/vyumba vya kupanga bila kutumia madalali

Special thread: Uzi wa kusaidiana kupata nyumba/vyumba vya kupanga bila kutumia madalali

Nataka chumba (master) sebule na jiko, maeneo ya kuanzia kona, baruti, bucha, korogwe, kimara mwisho na stop over. Pia umeme usiwe wa kushare wapangaji wengi. Umbali kutoka morogoro road isiwe zaidi ya dakika 10.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chumba kimoja kipo mbuyuni

Ila anatafutwa mdada.

Pm for more details.
 
Nahitaji RAV4 Au SUZUKI au GX110 Au GX100 AVANTE AU NOAH SR40 my budget is low
Mkuu kuna mahali nimeona RAVA 4 INAUZWA BEI CHEAP SANA .....NGOJA NIKUTAFUTIE MAWASILIANO ..ANAMAREJESHO YA BANK KAKABWA

Sent using i phone x
 
Ungeongeza na viwanja
Habarini Wandugu.

Naomba kusaidiana kupeana taarifa juu ya nyumba au vyumba vya kupanga kwa jiji la Dar es salaam.

Kuna nyumba itakuwa wazi kuanzia January 10 yenye:
- Vyumba 2 kimoja master
- Sitting room
- Kitchen

Na kodi inalipwa kuanzia miezi 2 na kuendelea. Nyumba ipo mivumoni ya Madale.

Pia anaehama anauza fridge kubwa na masofa.

Karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna vyumba maeneo ya temeke vetenary! Karibu na kanisa la kkkt
Nyumba ipo karibu na barabara ile inayopita mchicha, vyumba ni single na bei ni tsh 50,000
 
Back
Top Bottom