mike2k
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 1,571
- 3,448
Nipe Muongozo Dodoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe Muongozo Dodoma
Mbuyuni unayoiongelea ni ile baada ya Morocco Airtell HQ?Natafuta chumba maeneo ya kuanzia barabara ya survey, Mwenge, morocco mpaka Mbuyuni. Dalali anaruhusiwa
Mkuu kuna mahali nimeona RAVA 4 INAUZWA BEI CHEAP SANA .....NGOJA NIKUTAFUTIE MAWASILIANO ..ANAMAREJESHO YA BANK KAKABWANahitaji RAV4 Au SUZUKI au GX110 Au GX100 AVANTE AU NOAH SR40 my budget is low
Mmmh kwanini mdada??[emoji41][emoji41][emoji41]Chumba kimoja kipo mbuyuni
Ila anatafutwa mdada.
Pm for more details.
Habarini Wandugu.
Naomba kusaidiana kupeana taarifa juu ya nyumba au vyumba vya kupanga kwa jiji la Dar es salaam.
Kuna nyumba itakuwa wazi kuanzia January 10 yenye:
- Vyumba 2 kimoja master
- Sitting room
- Kitchen
Na kodi inalipwa kuanzia miezi 2 na kuendelea. Nyumba ipo mivumoni ya Madale.
Pia anaehama anauza fridge kubwa na masofa.
Karibuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chumba kimoja kipo mbuyuni
Ila anatafutwa mdada.
Pm for more details.
Kiwanja mkuu...nipe mwongozo.Mimi siyo dalali
Kwa anayehitaji chumba au kiwanja DODOMA NITAMPA MWONGOZO HAPAHAPA
Yes... Kituo hicho so maeneo ya namanga poa piaMbuyuni unayoiongelea ni ile baada ya Morocco Airtell HQ?
Kipo mtaa wa kijaka, kata ya Kimbiji. Square meters 1104 kina hati kabisa. Bei ni 5M tuu
Kwenye mambo ya kweli. Usilete mzaha.
Nyumba hii inapangishwa ipo mivumoni ya madale kodi ni 250k kwa mwezi inalipwa miezi 3&3 tuu pia masofa hayo yanauzwa 300k.View attachment 1305591View attachment 1305596
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado kipo?Chumba kimoja kipo mbuyuni
Ila anatafutwa mdada.
Pm for more details.
Unajua wapangaji wa kiume hua hawafanyagi usafiMmmh kwanini mdada??[emoji41][emoji41][emoji41]
Sent using i phone x