osmaney
JF-Expert Member
- Jan 18, 2017
- 1,042
- 998
Habari wanaJf..
Poleni na harakati, hongereni pia kwa utaftaji.
Mungu awajalie katika harakati zenu pia. Haswa harakati ambazo ni halali.
LENGO LA UZI; Ni kwajili ya Viatu tu, napo ni pande zote wanaume na wanawake
Vyovyote vile unaeza kukichambua kiatu kwanamba uwezavyo, cha msingi ni ustaarabu Tu.
Vilevile mtu akivutiwa na kiatu unaeza mpa taarifa sahihi ya kiatu hicho. Mfano ubora wa kiatu hicho,upatikanaji wake na hata bei yake
Karibu Sana tuzungumze kuhusu Viatu