Hii ni Special thread ya Video na Picha kutoka Uwanja wa Mapambano Ukraine kwa Wanajeshi Waliopo Msitari wa Mbele. Hii thread inawahusu timu Ukraine. Picha zinahusu mafanikio ya Ukraine.
Mwanajeshi wa Ukriane akiwa na PG-7VM rockets
Your browser is not able to display this video.
Hiki ni kipigo cha kwanza walichokipata Urusi. Misafara wa Urusi Ulikuwa unaelekea Ukraine. Magari yenye Maandishi ya Z ndo ya Urusi. Na Wanajeshi wenye alama ya njano kwenye bega ndo wa Ukraine
NB: Video kama haija vizuri kwenye screen yako, ijaze kwa kuizoom.
Tarehe 01 Machi 2022, silaha aina ya NLAWs na Javelins ziliwasili Ukraine. Hizi silaha kazi yake ni kuteketeza Vifaru vya Urusi. Next Generation Light Anti-tank Weapon(NLAW)
Hapa Wananchi wa Ukraine wakifundishwa jinsi ya kutumia mabomu ya kienyeji na jinsi ya kuyatengeneza. Ili kila mtu awe na uwezo wa kutengeneza Silaha yake
ZRPK Shell-C1 ikiwa Mikononi mwa wanajeshi wa Ukraine baada ya kutelekezwa na Wanajeshi wa Russia. Hii ni anti-aircraft missile system ya Urusi. Ilikuwa 01/03/2022