Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kursk: Leo 14 August 20 24, Majeshi ya Ukraine yamekamata Miji ya Borka, Spalne na Plekhove Kuasini mwa Kursk. Pia wanakaribia Wilaya ya Korenevo Mjini.
 
1723621006439.png
 
Si muda Mrefu Belgorod kinanuka. Majeshi ya Ukraine ndo yanaelekea Huko baada ya Kuusambaratisha Mkoa wa Kursk Nchini Urusi. Vijana wengi wa Urusi wanajiunga na Ukraine katika hii Opertion
1723621091345.png
 
Urusi wamedakwa na Majeshi shupavu ya Ukraine huko Mkoani Kursk. Walikuwa wanajaribu kumtorosha kiongozi wao wa kijeshi. Wamekamatiwa Wilayani Lgov.
 
Majeshi ya Ukraine yakiwa Mjini Lgov Mkoani Kursk
 
Ukrainian Special Forces walivyopiga Ambush Msafara wa Urusi huko Kursk Nchini Urusi. Hawa Warusi walikuwa wanaenda kuongeza nguvu Frontline bila kujua kuna mtego wa Ukraine tayari.
 
Majeshi ya Ukraine yamezidi kusonga mbele. Sasa yamekamata miji ya Olgovka, Malaya Loknya na Kruglenkoye huko Mkoani Kursk Nchini Urusi
1723634540604.png
 
Kinachoendelea Kursk Nchini Urusi, Wafuasi wa urusi hawaamini Macho yao. Hawa ni wanajeshi wa Urusi ambao baada ya kuzingirwa wamejisalimisha kwa majeshi Shupavu ya Ukraine
 
Urusi kayatimba. Mtoto kalilie wembe kapewa. Ukraine imekamilisha utengenezaji na Majaribio ya zana mpya ya kijeshi ambayo inafika kila ilipo kambi ya ya Kijeshi ndani ya Urusi. Sasa kumeanza kichangamka.

Palyanytsia missile inaenda kuwateketesa Warusi. Sijui watafanyaje.
Tendar_20240825__1827627466682151201_4_1827627401074876417.jpg
Tendar_20240825__1827627466682151201_5_1827627401066557441.jpg
 
Back
Top Bottom