Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Caesar self-propelled tu Urusi wanatafutana. Je, tukiongezewa M777? 🤣🤣🤣
Your browser is not able to display this video.
 
Huyu dogo aliambiwa mumeo kafa. Na kaburi lake lipo Uwanja wa Vita. Akasema lazima mnipeleke nikalione kaburi la mume wangu. kapelekawa Frontline huku Warusi wakirusha Makombora. Mwenyewe akatoka mbio. Milio ya mizinga hadi masikio yanaziba
Your browser is not able to display this video.
 
Lieutenant Colonel UFSNK Dmitry Savchenko kutoka Saratov Urusi, amechanwachanwa na Kombora. Sasa ni mbolea ya Ardhi ya Ukraine
View attachment 2265094
Ni moto kwa kwenda mbele. Hongereni sana japokuwa sipendi vita Ila inabidi basi tuu kazi iendelee.
Colonel Sergei Postnov alikuwa mkuu wa Kitengo cha habari. Huyu atakuwa amekukufia Izium. Leo ilikuwa nyakua nyakua ndani ya Ukraine.
View attachment 2265099
Atapeleka habari kwa waliotangulia mbele. Kazi iendelee.
 
Angalia Waandishi qa SUN waliokuwa Frontline, walivyo shambuliwa kwa Makombora kutoka Urusi. Yaani Frontline kufa ni ndani ya Sekunde moja tu😭😭
Your browser is not able to display this video.
 
Jana Urusi baada ya kuona wanazidi kufa na hakuna msaada wa kuongezewa nguvu, hawa waliobaki wakaamua kuweka Silaha chini na kujisalimisha. Hapa ni jana Jumamos 18 Jun 2022 Mkoani Luhansk. Wana bahati, wangekamatwa na Azov, wangekuwa sasa hivi ni chakula cha Mamba. Azov hawapendi mateka. Wanadai kuzunguka na mateka ni kuongeza mzigo wa kuwalisha na kuwaficha wasitoroke. Wao wanaua.
Your browser is not able to display this video.
 
Howitzers ya Marekani M777. Hawa ni Marine Battalion walikuwaga Mariupol. Washapata mzigo sasa ni kazi tu. Hii inapiga hadi km 300
Your browser is not able to display this video.
 
Urusi wanaendelea kuiba nafaka nchini Ukraine na Wanapeleka Urusi
Your browser is not able to display this video.
 
Odessa hakuna vita, hawa jamaa wameamua kuifuata Vita Frontline huko Kherson. Wana Usafiri wao.
Your browser is not able to display this video.
 
Hii ndo Anti-tank guided missile ATGM ikiwasambaratisha Warusi na kifaru chao
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…