Yeah. Ukimdunda baraAbara adui yako huwa kuna ka-furaha fulani unakapata na moyo wako unasuuzika.Wanajeshi wa Ukraine full furaha.wanajua Mrusi atapigwa
View attachment 2288026
Usijali mkuu, hata hiyo ni taarifa.Nimekosa picha ila kambi Kuu ya Jeshi la Urusi iyopo Melitopol yenye Vifaa inawaka Moto mida huu.
Machozi,Simanzi na Damu isiyo na Hatia inayomwagika bure havitamwacha Putin salama.
Hey! Nini tena? au ni HIMARS katika ubora wake? inaonekana ni usiku lakini huo mtawanyiko(msambaratiko) wa vitu hadi angani na mwanga-moto unatisha mkuu.kutoka Novaya Kakhovka 🤩
View attachment 2288040
Itakuwa ghala la siraha limepuliwa.Hey! Nini tena? au ni HIMARS katika ubora wake? inaonekana ni usiku lakini huo mtawanyiko(msambaratiko) wa vitu hadi angani na mwanga-moto unatisha mkuu.
Oh; kazi ipoItakuwa ghala la siraha limepuliwa.