Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mrusi apigwe.

Uturuki imeleta yale Magari yake aina ya BMC KİRPİ 4x4 MRAP idadi ni 150
Your browser is not able to display this video.
 
Jeshi la anga la Ukraine likiwa linatumia Magari ya United Kingdom aina ya Wolfhound (Heavy Tactical Support Vehicls) Msitari wa mbele.

Kwenye gari kama unavyoona, Wamefunga Silaha aina ya M2HB HMG.

Haya Magari yanasaidia kufafirisha wanajeshi kutoka A kwenda B Frontline. Pia yanasaidia kusafirisha Silaha na risasi. Yanatumika katika kuokoa
Your browser is not able to display this video.
 
Wanajeshi wa Ukraine wapo Viunga vya Mji wa Kherson. Wanaingia kwa Step wasijeangukia kwenye mtego wa Urusi. Ila hiki ndo kikosi cha kwanza kuingia kwa Magari madogo na pikipiki.
Your browser is not able to display this video.
 
Frontline ya Vifaru vya Ukraine wakielekea Kherson

Kumbuka wenzetu wa Magari madogo wameshatangulia. Hapa anga limethibitiwa, Rocket ya Urusi haikatizi ndo maana onaona Vifaru vyatembea mwendo wa raha.

Mimi nilitamani kitangulie kikosi cha 93rd battalion chenye Drone nyingi. Ngoja tuone wiki hii inaishaje
Your browser is not able to display this video.
 
Naam. Tunawaombea na kuwatakia kazi njema iliyotukuka - Ukombozi wa Kherson.
Mrusi anaenda kufunzwa Adabu na Ustaarabu.
 
Airbase ya Saki huko Crimea
View attachment 2319245
Safi sana. Yaani Ukraine yupo Kimkakati zaidi (Strategic planning) sio kama Mrusi anajipigia makombora hovyo-hovyo bila kuwa na lengo mahsusi kwamba nikipiga point fulani itapelekea athari za kumfanya adui adhoofike na ashindwe kufanya moja,mbili, Tatu n.k. Mrusi yy anapiga ili kuonesha maguvu na ubabe hana mpangokazi ila ni vurugu-mechi tu. Ngoja vijana wakampe darasa huko Kherson.
 
Ndiyo maana huwa sichoki kutembelea uzi huu. Nikiona Ukraine inasonga mbele na kuacha mizoga nyuma moyo wangu unapata faraja sana. Fashisti aliingia kwa mbwembwe sana lakini sasa hivi anageuzwa kuwa kitoweo cha kunguru na nzi.
 
Duh sahv ukraine hawapoi ni kupeleka moto kila siku. Huko crimea nasikia ni Airbase kubwa imepigwa.
Ukraine wamepania na wapo kimkakati zaidi. Nadhani wameiva katika matumizi ya Logical Framework Analysis(LFA) i.e lengo, lengo mahsusi, wapi/mahali, muda , mhusika ,Mahitaji, viashiria vya mafanikio vinavyopimika(SMART indicators) n.k. - yan inafurahisha sana Ukraine wanatumia akili ipasavyo sio kama huyo fedhuli anaweka mlolongo wa vifaru urefu 64 km. halafu vinakaangwa vyote pamoja na waliomo na haoni wala hajifunzi kuwa ni hasara au ni aibu kwa Taifa kubwa kama hilo.
 
Ndiyo maana huwa sichoki kutembelea uzi huu. Nikiona Ukraine inasonga mbele na kuacha mizoga nyuma moyo wangu unapata faraja sana. Fashisti akiingia kwa mbwembwe sana lakini sasa hivi anageuza kuwa kotoweo cha kunguru na nzi.
Naunga mkono hoja. Hata wahenga walisema "Ivumayo haidumu" mm , labda nikose nafasi, nahudhuriaga hapa kila siku. Nampongeza sana mwezeshaji wetu Figganigga.
 
Mkuu kulingana na tathmini ya idara ya kijasusi ya Ukraine wanasema mwezi huu tusitarajie mambo makubwa, mwezi october ndio dunia itashangazwa na ukraine na anasema kufikia mwezi december kutakuwa na mapigani kidogo sana wakati anatarajia ifikapo 2023 urusi atakuwa kasharudi nyumbani kwa aibu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…