Hatari sana. Jamaa yuko vizuri kwenye kutumia silaha.Frontline ya Ukraine. Angalia jinsi Urusi wanavyo pelekewa moto
View attachment 2350631
Wanasema kuwa Izyum ikidakwa Warusi wote wanakufaSiku ikikamatwa Izyum, mchezo utakuwa imeisha. Izyum ni kama Wami au Chalinze kwa mtu anaye kwenda Dar. Urusi watakuwa wamekatiwa Mawasiliano
View attachment 2350655