Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi
Slava Ukraine [emoji1255]
Slava Ukraine [emoji1255]
Slava Ukraine [emoji1255]
Kuna watu wanadhani Frontline ni lelemama.
Angalia Urusi wanavyo pelekewa Moto
Hii Kirpi ya Uturuki. Imekanyaga bomu la ardhini, lakini bado ipo imara wala hakuna mtu aliye umia.
Hapa ni Dnieper, Mrusi anapelekewa moto.. Siku nzima. Drone inasaidia kuonesha adui alipo
Warusi wamepelekewa moto na Drones huko Bakhumut
Latvia wameondoa kivuko cha watembea kwa miguu kati yake na Urusi. Urusi wamelaaniwa
Kaka na dada wapo Frontline
Zaidi ya wanawake 59,000 wa Ukraine, wanampiga Mrusi
Angalia convoy ya Urusi ilivyo haribiwa Kherson
Kuna Warusi wanajifanya raia huko Kherson ili kutoa taarifa za Frontline. Wanazidi kunyofolewa
Warusi wamekufa kama sisimizi
Twende Frontline. Je, Wanajeshi wanaishije?
We’re lucky to live and see another day. Enjoy it.
97% ya missiles zilizopigwa na Urusi ndani ya miezu 9 zililenga Raia na Miundombinu, si Kambi za jeshi wala vituo vya kijeshi. Missiles 16,000 zilizorushwa na Urusi zimerekodiwa
Eti mifumo ya anga ya Ukraine imeharibiwa. Lakini ndege za Ukraine bado zina wapelekea moto