Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Jamaa ameomba tuache kuwapelekea moto ili Sherehe za Christmas zipite. Yeye kule anajipanga kivita, huku anataka tupumzike. Hii bora mapambano yaendelee..
Hatuwapi nafasi ya kupua.
Kumbe! Mbona hiyo ni mbinu dhaifu? Kazi ni mbele kwa mbele hakuna kulala mpaka kieleweke. Slava Ukraine
 
Soledar huko Bakhmut, kuna baridi kali, lakini wanajeshi wa Ukraine hawayaachii malindo yao. Wanakomaa Frontline kiasi kwamba Mrusi hasogei
View attachment 2473628
Mbona Soledar na Bakhmuts'ke, Russia wameshaichukua tangu 22/12/2022. Mpaka juzi 06/01/2023 nusu ya eneo la mgodi wa chumvi walikuwa wameshaichukua Russia.

Kiufupi direction ya Bakhmut, Russia kuna maeneo mengi wame advance na kuna mitaa ya mjini Bakhmut iko kwenye control ya Russia forces e.g. Fedora street.

Let us hope Ukraine itapata mapema vifaa vizito kama Bradley ili kuwafurusha Russia Bakhmut. Ukweli hali ni ngumu Bakhmut.
 
Sehemu zote hizo ni uwanja wa mapambano. Hakuna mtu alojitangazia ushindi. Ninachofurahia ni Urusi wanakufa kama sisimizi.

Ukraine itakombia maeneo yote yalokaliwa na Urusi kimabavu. Quote my words.

Ni swala la muda tu.
 
Hapa ni Luhansk, Urusi wameweka pyramids za zeke kuzuia Wanajeshi wa Ukraine wasivuke. Sasa watasongaje mbele? Hapa ndo Helkopta zitabeba wanajeshi wa Ukraine na kuwavusha. Urusi watashangaa
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…