Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hivi si vita baina ya Urusi na Ukraine. Ni vita baina ya Urusi na NATO. Kuna wanajeshi wengi kutoka nchi za NATO wanapigana huko Ukraine pamoja na silaha zao nzito kama Patriots. Mwaka mmoja tangu kuanza vita je NATO imeshinda? Je Urusu imesurrender? Tuanze hapo kwanza
 
Mzee wa jagajagaaa anajua kuwakaanga warusi. Hajabakiza hata mmoja wa kwenda kutoa salamu. 😂😂😂
Nadhani itakuwa ni shida pia kujua kama kweli hapo palikuwa na watu - manake Huyo Mzee Babraaa, Bartakuum hajabakisha walau hata kithibiti hapo 😀 😀 😀
 
Aisee! Dah! Wabongo ni watu wa ajabu sana. Hivi ni wewe tu unayefahamu hivyo au ni wewe na wenzio wa aina yako mnaofahamu hivyo???
Mbona Dunia nzima na Mataifa yote yanafahamu na kutambua kuwa hii ni vita baina ya Urussi na Ukraine?. Hata vyombo vya Habari huripoti hivyo kwamba ni vita baina ya Urussi na Ukraine. Sijui wewe ni kitu gani kilichokusibu hata ufikie mahali pa kutofautiana na Dunia nzima. Kama ni kwa mtizamo wako, basi uandike ni kwa mawazo yako na hakutakuwa na shida kwetu wasomaji. Lakini ukitupotosha kama ulivyoandika tutakukatalia katakata na kukuona ni mtu wa ajabu.
Habari za uwepo wa cjui NATO, Wagner, Belarus, Chechen etc hakubadilishi ugomvi ni baina ya nani na nani ie. wanaogombana na kutambulika katika hii vita ni Urussi na Ukraine. Hayo mengine ni ya kwako.
Habari za eti wameshinda au wamesurrender ingefaa uzingatie kwamba vita sio sawa na mchezo wa mpira kwamba kawaida ni dk.90. Naomba utuambie wewe ulipanga au ulikadiria hiyo vita ichukue muda gani?? Na kwa nini muda huo na si vinginevyo?
Uwepo wa wanajeshi wengi ni kawaida kwani vita sio ya idadi fulani ya wanajeshi kana kwamba ni timu ya mpira idadi ni 11 kwa 11.
 
Ilo unafahamu wewe sisi tunafahamu ni kati ya mrusi na m-ukraine... Acha warusi wafe tukateke mademu wa bwelele huko Russia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…