figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #10,841
Mrusi kaona isiwe tabu kajilaza kama kafa, Jagajagaa kumbe kashamwona, kashushiwa kitu hapo hapo.😂😂😂Jagajagaaa
View attachment 2508642
Alivyojitupia kwenye shimo kama panya buku 😂😂😂Kasaidiwa ila yeye kamuacha. Warusi bana
View attachment 2508646
Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyeweKasaidiwa ila yeye kamuacha. Warusi bana
View attachment 2508646
Huu mzigo unafanana kama ule wa Charleston.
Ukiskia kitu kimebondwa ndio kama hivyo👆👆💪
Slava Ukraine [emoji1255]Jagajagaaa
View attachment 2508642
Slava Ukraine [emoji1255]Hivi ndivyo Frontline inasonga mbele
View attachment 2508664
Slava Ukraine [emoji1255]Naamini Urusi ana nguvu ila atanyong'onyea tu. Bandu bandu humaliza gogo. Dunia imeunga kumuadabisha Urusi. Azerbaijan [emoji1039] - wameleta mzigo Ukraine tayari upo Frontline. Hizi ni 40M11 HE-frag 120mm mortar bombs zimetengenezwa mwaka 2022.
View attachment 2508760View attachment 2508761View attachment 2508762View attachment 2508763View attachment 2508764
Slava Ukraine [emoji1255]Azerbaijan wanasema wao ni Vitendo hawataki Maneno. Mzigo uliletwa kimya kimya bila Media. Wameshitukia upo frontline. Hizi ni mortars au QFAB-25 bombs.
View attachment 2508772