Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Jeshi la anga la Ukraine limerudi hewani. Ndege za jeshi za Ukraine zinapaa na kutua popite
 
Jana tuliteka kifaru cha Urusi aina ya BTR-82A. Ndo tumekipaki hapo🤣🤣
Your browser is not able to display this video.
 
Kifaru cha Urusi aina ya BRM-1K armored reconnaissance. Hapa ni Mkoani Kharkiv🤣🤣🤣
Your browser is not able to display this video.
 
Kifaru cha Ukraine kikiripua kifaru cha Urusi
Your browser is not able to display this video.
 
Helkopta ya Ukraine ikishambulia majeshi ya Urusi
Your browser is not able to display this video.
 
Kikosi cha 72nd Mechanized Brigade cha Urusi kikishambulia kifaru cha Urusi aina ya BTR.
Your browser is not able to display this video.
 
Ukraine wakishambulia Urusi
Your browser is not able to display this video.
 
Kombora aina ya ZhK-360MS ‘Neptune la Ukraine ndo lililipua Meli Vita ya Urusi. Hili Kombora linatengenezwa na Ukraine wenyewe na ni special kwa kulipua Meli za Kila aina hata kama zina Ulinzi vipi. Ndo maana Urusi haitumii Meli kwenye Vita ya Ukraine. Kila meli inayojaribu inalipuliwa. Hili Kombora lilifanyiwa majaribio ya mwisho 2019 na Makombora ya hivi yalikabidhiwa kwa jeshi la Ukraine mwaka 2021. Lina Teknolojia mpya kabisa na linaweza kupiga Umbali wa 280 km. Urusi hawaamini. Mfumo wao wa Ulinzi ulishindwa kuliona hili Kombora. Meli ya kivita ya Urusi aina ya Moskva, wakidai ina Ulinzi wa kuharibu Makombora kabla hayajifikia. Alikuwa anawatisha Marekani. Hii meli ilikuwa na Mabaharia zaidi ya 500. Lakini Ukraine ikaizamisha. Ni hasara Kubwa Urusi wamepata

missile cruiser Moskva moored
 
🤣🤣🤣 Ukija Afrika Mashariki. Mfano kenya ina Vifaru vita vizito 76 , 591 Magari ya Vita kama yale Tigr-M , 131 ndege Vita , 591 Vifaru vya kawaida vya kubebea wanajeshi na silaha mfani Vifaru aina ya T-72, 131 ndege za Jeshi, 17 fighter jets(zile zinazopiga kelele) na Helkopta 61. Tanzania tusiseme.
Hapa chini ni vifaa jeshi vya Urusi ambavyo Ukraine imeharibu. Tujipime uwezo wetu. Mfano hapa Afrika Mashariki, nani anazo japo 30 tu Smerch 9K58 MLRS Multiple Launch Rocket System? Ila Ukraine imeteka zaidi 70 zinazofanya kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…