figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #11,461
Sarah Ashtov kajeruhiwa Mkono, hivyo katolewa Frontline. Kapata kidonda kikubwa. Pamoja ma mambo mengine, alikiwa anarusha drone. Frontline
View attachment 2530303View attachment 2530304View attachment 2530305View attachment 2530306View attachment 2530308View attachment 2530309View attachment 2530312
Ujumbe wa Sarah Ashtov baada ya kujeruhiwa Frontline
View attachment 2530323
Angalia Warusi wanavyokufa Ukriane lakini hawaishi
View attachment 2530329
Angalia Urusi walivyopelekewa moto baada ya kutaka kusonga mbele Usiku. Kama kawaida, Walitanguliza Mugambo wao kabla ya Vifaru. Wakapelekewa moto
View attachment 2530330
Angalia Urusi wanavyopelekewa moto. Waoga balaa. Wamemwaga risasi kama Mvua wakati ni watu Wawili tu[emoji1787][emoji1787]
View attachment 2530810
Kwa wale wasiomkumbuka Kateryna βPtashkaβ ni miongoni mwa wanawake waliogoma kujisalimisha walipozungukwa na Majeshi ua Urusi kwa siku kadhaa
Hizi ni picha akiwa kwenye mahandaki ya Azovstal
View attachment 2531140View attachment 2531141
Hii ni kazi ya AZOV. Urusi wamwshondwa kusonga mbele huko Bakhmut. Matokeo yake wanazungukwa. Kama Wasiporetreat watatekwa wao. Kibao kimegeuka. Hii ni kazi ya 17th Armored Brigade na 3rd Assault Brigade (Ex #Azov) ambao wanawapiga Urusi kutokea kaskazini na kusini Wakutane katikati. Hawa Wagners kazi wanayo mbele ya Azov
View attachment 2531151
Ndege ya Urusi Beriev A-50, yenye radar systems imelipuliwa huko Belarus. Ni ndege ya gharama yenye uwezo wa kutrack hadi km 400. Kazi imefanywa na vijana wawili kwa kutumia drones zilizojipenyeza hadi kwenye uwanja wa ndege wa Machulishchy airbase Mkoani Minsk huko Belarus. Na special operation yao waliita "Victory Plan". Tayari vijana hao wameshavuka na Ukraine na wapo sehemu salama. Inakadiliwa gharama yake ni Euro Milioni 330. Wamelipa kisasi kwani Urusi pia ililipua Antonov An-225 Mriya ya Ukraine
View attachment 2531157View attachment 2531158View attachment 2531159
πππ Hii ni moja ya the best Clip. Jamaa yule hata angeona kikombe cha chai ungeenda kujaribu kama anaweza kuingiza kichwa. πππAngalia warusi wanavyo ptatabu Vuhledar
View attachment 2531806
Angalia Wagners wanavyo pata tabu huko Kurdyumivka kusini mwa Bakhmut,
View attachment 2531817