Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Zelensky awaambia Waukraine kuwa, Kwenye kikao cha juu cha masuala ya ulinzi wa nchi, amepata ushauri wa Wakuu wa jeshi la Ukraine asiondoe majeshi Bakhmut bali waendelee kupambana.
View attachment 2539902
Daah hatar sana hii, binafsi Kila nikiingia kuperuz vyombo vya habar vya magharibi naishia kusononeka tu maana vingi vinaripoti kushindwa kwa jeshi la Ukraine huko Bakhmut na inasemekana north,south, East imezingirwa route iliyobaku ni West tu sasa kama wataendelea kukomaa sijui itakuwaje
 
Niliiona daily mail hii habar ya huyu askar wa Ukraine inasikitisha sana
Hivi ni kweli huyo ni askari wa Ukraine? Mbona mm naona kama ni askari jeuri wa Urusi aliyeshindwa kutii amri aliyokuwa anapewa na badala yake akaanza kubwabaja maneno ya kuisifia Ukraine(Glory to Ukraine...)kana kwamba ni ajabu kwa askari wa Ukraine wameweza kumfikia na hivyo anawapa utukufu badala ya kutii amri aliyopewa? Kwa hali hiyo askari wa Ukraine aliyekuwa anajibizana naye akaona huu ni ujinga au ni mbinu ya ku-buy time ili kitu fulani kitokee. Askari wa Ukraine fasta akampa stahili yake.
Yan unamsifia adui yako eti ataghafilika akuache. 😳 Mbinu ya sungura na fisi.
 
Chombo gani kimeripoti kuwa Ukraine imeshindwa Bakhmut.

We are well informed on what is going in Bakhmut than you think.

We are not interesting on your propaganda.
 
Ni askari wa Ukraine kafanyiwa unyama huo na Russian soldiers.
 
Rip Soldier!!!
Bakhmut Hali ni mbaya sana kwa Majeshi ya Ukraine
Kama madai yako yana ukweli hebu tujibu maswali haya.

1. Kama hali ni mbaya kwa Ukraine, mbona mpaka sasa Russia wameshindwa kuichukia Bakhmut?

2. Kama kweli Ukraine ina hali mbaya, kwa nini frontline ya Russia kwa Bakhmut hawaja advance tangu 5/3/2023

3. Kama kweli Ukraine wana hali mbaya kwa nini Ukraine hawaja retreat?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…