Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ukijua level yangu ya kufikiri inakuongezea nini ?...

tusipangiane cha kuandika kiazi wewe...
Aibu kwa wazazi waliokulea. Akili yako imejaa matusi. Huwezi bishana kwa hoja bila kutukana. Unajiabisha na kujivunjia heshima sana. Naomba usinichafulie thread kwa matusi yako. Katukane huko Facebook
 
Usinipangie cha kuandika, huko Facebook nenda wewe.
Aibu kwa wazazi waliokulea. Akili yako imejaa matusi. Huwezi bishana kwa hoja bila kutukana. Unajiabisha na kujivunjia heshima sana. Naomba usinichafulie thread kwa matusi yako. Katukane huko Facebook
Aibu kwa wazazi waliokulea. Akili yako imejaa matusi. Huwezi bishana kwa hoja bila kutukana. Unajiabisha na kujivunjia heshima sana. Naomba usinichafulie thread kwa matusi yako. Katukane huko Facebook
 
Watu wanachukulia poa kikosi cha mortars. Lakini hii Bohari ya Silaha na risasi za Urusi huko Bakhmut, imesambaratishwa na mortars
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…