Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi
Uragan battery ya Ukriane kikiwapelekea moto Warusi
Wazee ndo wametoka training wakapelekwa Frontline moja kwa moja🤣🤣
Chechen wameenda Bakhmut wakapasuliwa. Mwenzao akawapost analia
Panaitwa "road of life" to Bakhmut. Tukisema Warusi wanakufa, kuna watu hawaelewi hadi waone picha. Hawa ni Wagners
Panaitwa "road of life" to Bakhmut. Tukisema Warusi wanakufa, kuna watu hawaelewi hadi waone picha. Hawa ni Wagners
View attachment 2638968View attachment 2638969View attachment 2638970
Mwe mwe mwe! duh! marehemu Wagners wamepangwa kama perege(samaki) kwa mafungu ya buku buku pale kwa mama naniliu.
Ahaa; Kumbe ndo mana Wagners walisema wanaondoka na wanawaachia Jeshi rasmi la Mrusi magofu hayo ya Bakhmut. Washenzi hao walionjeshwa joto ya jiwe.
Slava Ukraine.
Drone ya Urusi ilivyo angushwa kwa kutumia silaha za kawaida
Balashikha, Jijini Moscow
patriot anti-aircraft missile system in Kyiv
Drone ilivyo tungua Gorofa huko Moscow
Drone nyingine imekosea target ikapiga sehemu ya Wazi Moscow. Natamani ingeondoka na Mrusi mmoja