Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ukraine imebidi itume drones zake huko Sudan(Afrika) baada ya kugundua kumbe wagners PMC wamekimbilia huko kujificha. Wamewafyeka hadi wakakoma. Drone za Ukraine zinafika popote.
Your browser is not able to display this video.
 
1.Mtifuano Frontline wakati Ukraine wakiingia ngome ya Wavamizi wa Urusi
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…