Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Wanawake wa Urusi wameambiwa waache kutumatuma meseji kwa Wanaume na watoto wao waliovamia Ukriane huko Frontline kwani walishakufa. Wametakiwa kuangalia hii video kam waymtaweza tambua waume au watoto wao
Your browser is not able to display this video.
 
Wavamizi kutoka Urusi, walipozidiwa wakaweka mikono juu na ikapigwa kamba. Watanyoka tu taratibu
Your browser is not able to display this video.
 
Baada ya Wagners kuzidiwa, walikimbilia Sudan Afrika. Ukrainian special forces wakawafuata huko Sudan, wakawaangamiza.

Ukriane wapo vizuri kwa upelelezi. Wagners walienda Sudan kujipanga upya baada ya kuretreat

Hapa chini ni Jeshi la Ukraine likiwa Sudan kuwawinda Wavamizi kutoka Urusi Wagners
Your browser is not able to display this video.
 
Wiki ya pili sasa Wavamizi kutoka Urusi wanapambana huko Zaporizhzhia kuirudisha Robotyne baada ya kunyang'anywa, lakini hawajasogea hata hatua moja🤣🤣
 
Shenzi sana. Kwani wao walikuja Ukraine kufanya nini halafu sasa eti wanaomba wasitendewe inavostahili. 😳
Aaaah Jamani, nani kamwona Figga huko????. Hii ni wiki ya tatu(3) Figga is no where to be seen. Figgaaaaa??? R U alive? Then Pls, bring updates sir.
 
Aaaah Jamani, nani kamwona Figga huko????. Hii ni wiki ya tatu(3) Figga is no where to be seen. Figgaaaaa??? R U alive? Then Pls, bring updates sir.
Tupo Mkuu. Saa nyingine maisha lazima yaendelee hasa ukiwa unategemewa. Tuombeane uhai. 🙏
 
German MG5 machine gun ikiwa Frontline Ukraine. Zipo nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…