Miye wa jambiani shekhe, kiembe wanakaa kina mkojaniMzee baba kumbe wewe ni kina Makame wa huko Jambiani na kiembe samani? [emoji2][emoji2]
π€£π€£π€£π€£π€£ Bashasha ndio mwake sheikhOoooooh..... Au ukivalia kanzu warembo wanakusalimia kwa bashasha. πππππ
Unazijua Busara wewe ? Mtoto shetani nini. Wahi uripoti kambini ufyatue tofali nyumbani unasubiri nini ?πππππ Ahsante mzee wangu ila uwe na busara uache kutukana tukana.
Kijana vipi, sikuelewi anko gani huyo??dronedrake uneonaaa?
Tunamfunza adabu huyu mzee wetu hapendi kutagiwa. πππππ π π
Fala wewe ππππUnazijua Busara wewe ? Mtoto shetani nini. Wahi uripoti kambini ufyatue tofali nyumbani unasubiri nini ?
Saa 8 za usiku unachati nyie ndio mnaiba mkataba wa bandari. πππTunamfunza adabu huyu mzee wetu hapendi kutagiwa. ππππ
mnajuana kumbeTunamfunza adabu huyu mzee wetu hapendi kutagiwa. ππππ
πππππ Huyu mzee ni Sargent kambi makutupora, me ni brigadier general kambi ya oljoro. πππmnajuana kumbe
mambo ya kambini yanakujaje ?
na kuzo wake ni Joe Navarroπππππ Huyu mzee ni Sargent kambi makutupora, me ni brigadier general kambi ya oljoro. πππ
Huyo kuzo ni lieutenant canal. πππna kuzo wake ni Joe Navarro
na wamefanana kweliHuyo kuzo ni lieutenant canal. πππ
na wamefanana kweli
na akili zao zinafanana pia
na akili zao zinafanana pia
uwatag kwenye ujinga ujinga lazima wakiwashe
Wanatamani wapewe uadmin watupe banna akili zao zinafanana pia
uwatag kwenye ujinga ujinga lazima wakiwashe
natamani kuwa uyo mzee hapo, anafaidi sana
huyo anko ndiyo hana nsalia ntume kabisaWanatamani wapewe uadmin watupe ban