Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

wew ujui item napata wapi mkuu so usiwe unatoa kauli km hizo..hizo tv nimeshauza zote na model [emoji116] hizo tafuta duka zote east africa model hizo km utapata call me 0629565168
Huyo kashazoea kupigwa, anadhani akiuziwa ghali tu basi ishakua og, hata kama ni feki ukimuuzia bei baas kasharidhika
 
wew ujui item napata wapi mkuu so usiwe unatoa kauli km hizo..hizo tv nimeshauza zote na model [emoji116] hizo tafuta duka zote east africa model hizo km utapata call me 0629565168
Nikiiona live og naijua, bt bei zake sio chini ya kilo tano. Hyo yako inatofauti yoyote na normally lg?
 
sio yangu tena nimeshauza mkuu pia punguza ujuaji wakati aujui kitu...nimekupa model ugoogle..unakomalia bei item OG aipimwi kwa bei mkuu..pia hio tabia ya kuwatoa watu uaminifu na kudis item ambazo uzijui acha hizo tabia
 
Hamna noma mkuu
 
Wakuu inahitajika brandy new smart tv ya inch32 iwe Sumsung,LG au Sony,bajeti iliyopo ni laki5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…