Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

nahitaji ,panasonic au sony bravia kuanzia nch 40 had 43 iwe led.iwe na HDMI ports,usb ports na walau UHD
 
Wakuu Vipi na mimi muuza TV pia nakaribishwa kwenye huu Uzi? Ila mimi nauza TV mpya. Brand mbalimbali , Sony ,lg, samsung, panasonic , tcl, boss, vitron, hitachi, sharp, na kadhalika.. naomba kwanza mniruhusu wakuu na mimi niwepo humu kwenye huu uzi
 
Karibu mkuu....tunakuitaji zaid
 
....full hd, triple tuner, 3d smart tv....Philips inch 42...bei 600000 ( upande wa kushoto juu imemeguka kidogo wakati inashushwa ktk kontena iliteleza coz ni kioo kitupu ktk body yake ya pembeni)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…