Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Natafuta TV yoyote flat screen ya kununua ambayo ina kingamuzi ndani kwa ndani, bei tutajadiriana... Kama unayo njoo direct kupitia 0658837650/0754827650
 
Boss hiyo 43inch led imenyooka kama mpya kasoro box inatakiwa 670k mazungumzo yao kidogo nicheki kwa no 0716917896
 
Hey wakuu natumai mko poaa....

Nahitaji screen ya tv flat lg model no... May67097701...108sm/43 mwenye nayo au anaemjua fundi wa hiyo kitu anisaidie plzzz... Nipo dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…