Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Waungwana nina TV yangu LG Inch 40, nilinununua kwa mdau mmoja humu JF, kioo kimekufa so please wadau natafuta kioo cha inch 40, nimajaribu kuulizia kaliakoo jana nimeambiwa laki 6 pamoja na ufundi. Vinginevyo nauza kama ilivyo kwa laki 2 tuuu wadau.
Specifications za TV nitaziweka baadae
 
Jamani nina laki tano nahitaji ya inchi 40+ , kama kuna mwenye nia ya dhati kuuza aje pm , nataka tv ndani ya wiki hii
 
Wacha nikanunue dukani tu humu noma
 
Acha uong samsung hawana inch 42 babaaa ahhhhh
unajua neno uongo tafsiri yake?? mkuu abdulwahid take it easy....samsung 42 wanazo mkuu unaweza kunitembelea offisin kwangu magomeni mapipa nitakuonyesha or instgram kwa jina la tv_used...whtsapp 0629565168
 
Lg 32inch led tv ya mtumba from uk
H
ii tv ipo.tofauti na tulizozoea za dukani kutoka quality ya picha na sound kwa wanaojua tv za mtumba wananielewa nataka 410k tu nicheki kwa no 0716917896 tufanye biashara
 
@Abdulwahid mkuu uliniuziga Samsung Smart TV mwaka juzi......nimerudi tena mkuu ile TV wamevunja mlango wameiba....!! Sasa hivi nataka brand yoyote ndogo i.e TCL Inch32 (isiwe smart) ......!!! Sh. ngapi sijui....maana world cup hii kinyonge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…