Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
Mkuu salumu kupitia wewe twazidi kujifunza mengi ,Mimi kiukweli kwenye hayo matoleo najua tu LCD, LED, na smart TV he hio 4K ni IPI hasa je quality yake ni the best kuliko nilizozitaja auoke mkuu niambie unataka 4k ya aina gani na kampuni gani na bajeti yako kiasi gani tuimalize hio biashara leo
Budget cwez sema ni sawa nakuruhusu kupigwa. Brand ziwe hiz kubwa plus tcl. Co cjui boss, star x na wenzao. Inh 49/55 ukipata ni tag tuoke mkuu niambie unataka 4k ya aina gani na kampuni gani na bajeti yako kiasi gani tuimalize hio biashara leo
nicheck mkuu 0629565168 tuyajenge kama unaitaji mpya umeshapata wala sio za kutafutaBudget cwez sema ni sawa nakuruhusu kupigwa. Brand ziwe hiz kubwa plus tcl. Co cjui boss, star x na wenzao. Inh 49/55 ukipata ni tag tu
Size gani mkuuMie nahitaji Hisense
470000/= tatizo bus za huko kwenu pozi sana 32 wanalipisha bei ya 42Star X inchi 32 bei gani hadi bukoba?